WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHMBILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHMBILI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Adoral Mapunda akimkaribisha Mh. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Hadji Hussein Mponda (MB)chumba namba 60 Jengo Jipya la Wagonjwa wa Nje.
Katikati Prof. Victor Mwafongo Bingwa wa Magonjwa ya Dharura akitfafanua jambo kwa Mh.Waziri juu ya huduma bora zinazotolewa na Idara ya Magonjwa ya Dharura.Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Makwaia Makani
Daktari Bingwa wa Watoto Dkt. Masawe akimweleza changamoto Waziri wa Afya zinazopelekea vifo visivyo vya lazima kwa akina mama na watoto katika wodi mojawapo ya Jengo la Wazazi
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo Dkt.Joseph Kissanga akitoa taarifa kwa  Mh.Waziri wa Afya juu ya huduma ya uchunguzi na tiba ya figo.
Prof. Victor Mwafongo Bingwa wa Magonjwa ya Dharura akifafanua jambo kwa Mh. Waziri juu ya huduma bora zinazotolewa na Idara ya Magonjwa ya Dharura.
Mh. Waziri wa Afya Dkt. Hadji Hussein Mponda akizungumza na wanahabari juu ya ziara yake Hospitali ya Taifa Muhimbili. Picha zote na mdau Aminiel Aligaesha -Muhimbili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages