Sehemu ya mbele ya gari ikiwa imefunguliwa kwa uchunguzi zaidi
Picha chini :Askari polisi akilinda sehmu ya madawa ya kulevya yaliyotolewa kwenye gari hiyo
Kiwango kikubwa cha Madawa ya kulevya Kimekamatwa Hivi karibuni Tunduma zikitokea Mkoani Arusha zikiwa njiani kuvushwa kupelekwa Afrika ya kusini,Lakini kikosi makini cha jeshi la polisi nchini Kilifanikiwa Kuwashika watu wawili mwanamke na mwanaume kwa kuhusika na tukio hilo
Madawa hayo ambayo yalikua yamefichwa kwenye sehemu mbalimbali za gari Dogo aina ya Pic Up Nissan Hard bord ikiwa na namba za usajili za A.kusini inakadiriwa kati ya kilo 40 zikilikamatwa. police wanawashikilia watuhumiwa kwa upelelezi zaidi.Picha na Habari na Mdau David William Slaa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)