Mdau AhmedMichuzi wa Clouds Media(wa Kwanza Kulia)akiwa katika picha ya pamoja na kutoka kushoto ni Jimy Jam, Arnord Kayanda,Milad Ayo(aliyejiengua radione na itv na kujiunga na clouds Media),Zamaradi Mketema,Gea Habib, na Sophia Kessy
Mdau Milad Ayo aliyekua Mtangazaji wa ITV/radio One akisikiliza kwa makini kikao cha wana Clouds Fm Muda mfupi baada ya kujiunga na Clouds Media Group
Kichwa kingine kilichojiunga na Clouds Media Group Asmah Makau
Pichani ni kichwa kipya kingine kilichojiunga na 88.4 wana Clouds Fm Regina Mwalekwa ambaye nae amejiengua Radio One na Kujiunga na Clouds FM.Picha zote na Ahmed Michuzi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)