ARSENAL YAIFUNGA FULHAM 2-1 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ARSENAL YAIFUNGA FULHAM 2-1

Arsenal Jana iliweza Kuifunga Fulham Goli 2-1 Katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza. Ambapo gori la Kwanza Lilifungwa na Samir Nasri
Samir Nasri celebrates scoring the first goal for Arsenal
Samir Nasri akishangilia Goli La Kwanza Alilofunga dhidi Ya Fulham Hapo Jana.
Diomansy Kamara scores the first goal for Fulham
Diomansy Kamara alipokuwa anafunga Goli la kwanza la Fulham 
Samir Nasri rounds Fulham goalkeeper Mark Schwarzer before scoring Arsenal's second goal
Samir Nasri alipomzunguka golikipa wa Fulham Mark Schwarzer kabla ya kufunga Goli La Pili.  

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages