CHELSEA YAKABWA KOO NA EVERTON HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHELSEA YAKABWA KOO NA EVERTON HAPO JANA

Katika Mechi Nyingine iliyochezwa hapo jana katika Ligi kuu ya uingereza Timu ya Chelsea Ilijikuta Ikikabwa Koo na Timu ya Everton baada yakutoka Sare ya Goli -1-1
Didier Drogba fires Chelsea in front from the penalty spot
Didier Drogba alipoifungia timu yake ya chelsea mbele ya eneo la Penati.
Didier Drogba celebrates after putting Chelsea in front against Everton
Didier Drogba akishangilia Goli alilofunga na kuiweka mbele Chelsea kwa goli la kwanza dhidi ya Everton
Everton goalscorer Jermaine Beckford is congratulated by Marouane Fellaini
Mfungaji Wa goli La Everton Jermaine Beckford Alipokuwa akipongezwa na Mwenzake Marouane Fellaini
04 December 2010, Chelsea 1 - 1 Everton
Jermaine Beckford heads Everton level at Chelsea
Jermaine Beckford heads Everton level at Chelsea
Kwa Msimamo Wa Ligi Kuu England CLICK HAPA


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages