VICENT NYERERE ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA MUSOMA MJINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VICENT NYERERE ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA MUSOMA MJINI

Vincent Nyerere ashinda Ubunge kwa Kishindo Musoma Mjini

Vincent Nyerere
-----

Taarifa hii inatoka kwenye blogu ya Madaraka Nyerere akisema kuwa,

Taarifa rasmi iliyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi wa Musoma Mjini, saa 11:30 alfajiri hii, imethibitisha ushindi wa Vincent Nyerere wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mbunge mpya baada ya kumshinda aliyekuwa mbunge, Vedasto Mathayo Manyinyi wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Matokeo rasmi ni haya:
  • Vincent Nyerere (CHADEMA) -------------------------- 21,335 (56.71%)
  • Vedasto Mathayo Manyinyi (CCM) --------------------14,072 (39.38%)
  • Mustapha Juma Wandwi (Civic United Front) -----------253 (0.71%)
  • Chrisant Ndege Nyakitita (Democratic Party) -------------53 (0.15%)
  • Tabu Saidi Machibya (NCCR - Mageuzi)---------------------19 (0.05%)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages