AMANI YAENDELEA KUIMARISHWA HUKO ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AMANI YAENDELEA KUIMARISHWA HUKO ZANZIBAR

Doria imeimarika Zanzibar


WANANCHI wakiwa nje ya geti la hateli ya bwawani wakisubiri matekeo ya kura ya urais na wabunge na wawkilishi.
WAFUASI wa Chama cha CUF wakiwa nje ya geti la Hoteli ya Bwawani wakisubiri kupata matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar.
ASKARI wa kutuliza fujo FFU wakiwa nje ya ukumbi wa Hoteli ya Bwawani wakipiga doria kutuliza fujo kwa watu ambao watavunja amani na kuhatarisha amani na mali za Raia.Picha na Mdau Othman Mapara/Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages