HALI ILVYOKUA TANDIKA LEO MCHANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HALI ILVYOKUA TANDIKA LEO MCHANA

Mambo yalivyokua Tandika Ngamano Leo
Askari wa kikosi cha kutuliza Fujo FFU wakipiga Doria Muda mfupi baada ya kuwatawanya
Matairi yakiwa yanawaka kwenye barabara
Wakitimua mbio muda mfupi baada ya kikosi cha FFU kuwasili
---
Habari hii na Msimbe Beda Lukwangule

----------
POLISI imelazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ya pilipili baada ya kutokea vurugu katika eneo la Tandika Ngamano na kuwakamata zaidi ya watu 25 waliohusika na vurugu hizo.
Vurugu hizo zilihusisha kufunga barabara kwa mawe na kuchoma moto matairi sambamba na kuyaharibu magari hali iliyotokana na kutangazwa mshindi wa udiwani wa kata ya Tandika, Zena Mgaya wa CCM ambapo wananchi walidai si mshindi halali na aliyeshinda ni Adam Mbezi wa CUF.

Kutokana na vurugu hizo vijana 21 2wanashikiliwa na polisi na wanaendelea kuhojiwa kubaini sababu za vurugu hizo.Mkuu wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleimani Kova alisema ikibainika walihusika na vurugu hizo watafikishwa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages