WAFUASI WA CUF WALIPOKUA WANASHINIKIZA SEIF ATANGAZWE KUWA MSHINDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFUASI WA CUF WALIPOKUA WANASHINIKIZA SEIF ATANGAZWE KUWA MSHINDI

BAADA YA WAFUSI WA CUF KUSHINDA KUTWA NZIMA ZEC KUSHINIKIZA MAALIM SEIF ATANGAZWE MSHINDI,HATIMAYE WAMEONDOKA ENEO HILO SAA 1;30 BAADA YA SEIF KUFIKA
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Seif Shariff Hamad akiwatangazia wafuasi wake waondoke eneo la Bwani Hoteli yalikokuwa yakitangazwa matokeo ya uchaguzi.hatimaye wameondoka saa 1.30 usikuhuu,baada ya kusota eneo hilo tangu asubuhi.
Maalimu Seif Akiwatuliza baada ya kujaribu kukataa maelekezo yake Usiku Huu
Wafuasi wa CUF wakijaribu kupiga maelekezo ya Seif.Picha zote hizi kutoka Zanzibar kwa Wakati ni kwa Hisani Kubwa ya Mdau Bashir-Nkoromo
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages