John Shibuda wa Chadema na Silvester Kasurumbai Waukwaa Ubunge
Mh. John Magale Shibuda (pichani) ambaye alikua ni mbunge wa maswa kupitia CCM kabla ya Kukihama na Kuhamia Chadema leo hii yeye na Silvester Kasurumbai wametangazwa rasmi na wasimamizi wa uchaguzi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya CHADEMA baada ya kushinda kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu.Shibuda kakomba kura 17,456 Maswa Magharibi wakati Kasurumbai kazoa kura 17,075a
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)