TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO MENGINE MANNE YA URAIS MENGINE KESHO SAA TANO ASUBUHI
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Lewis Makame akitangaza matokeo ya kura za urais katika majimbo mengine manne jiioni hi kwenye kituo cha kutangazia matokeo ya uchaguzi kilichopo kwenye Hoteli ya Paradise City jijini Dar es salaam,Naye mkurugenzi wa Tume hiyo Rajab Kiravu amesema matokeo zaidi watatangaza kesho saa tano asubuhi.
--------------------
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO
JIMBO: SIHA
JIMBO: SIHA
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 241 1.02%
KIKWETE JAKAYA MRISHO- CCM 15,570 65.69%
SLAA WILLIBROD PETER -CHADEMA 7,226 30.49%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA -CUF 83 0.35%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 18 0.08%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT- TLP 11 0.05%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA- UPDP 14 0.06%
SPOILT VOTES 538 2.27%
TOTALS 23,701 100.00%
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBOKIKWETE JAKAYA MRISHO- CCM 15,570 65.69%
SLAA WILLIBROD PETER -CHADEMA 7,226 30.49%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA -CUF 83 0.35%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 18 0.08%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT- TLP 11 0.05%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA- UPDP 14 0.06%
SPOILT VOTES 538 2.27%
TOTALS 23,701 100.00%
JIMBO: MPANDA VIJIJINI
KIKWETE JAKAYA MRISHO -CCM 7,817 62.87%
SLAA WILLIBROD PETER -CHADEMA 3,669 29.51%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA -CUF 378 3.04%
RUNGWE HASHIM SPUNDA- NCCR-MAGEUZI 26 0.21%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT- TLP 17 0.14%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA- UPDP 13 0.10%
SPOILT VOTES 386 3.10%
TOTALS 12,434 100.00%
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 157 0.77%
SLAA WILLIBROD PETER -CHADEMA 2,702 13.24%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA -CUF 114 0.56%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 10 0.05%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT- TLP 4 0.02%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA -UPDP 7 0.03%
SPOILT VOTES 344 1.69%
TOTALS 20,404 100.00%
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO
JIMBO: CHILONWA
KIKWETE JAKAYA MRISHO -CCM 19,780 83.68%
SLAA WILLIBROD PETER -CHADEMA 2,439 10.32%
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA -CUF 179 0.76%
RUNGWE HASHIM SPUNDA NCCR-MAGEUZI 25 0.11%
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT -TLP 18 0.08%
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA -UPDP 18 0.08%
SPOILT VOTES 860 3.64%
TOTALS 23,638 100.00%
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)