Mgombea Ubunge Wa Jimbo la Segerea Mh Fred Mpendazoe ambae Mpaka Sasa Anaongoza Kwa Kura Za awali baada ya Kushinda Kata 5 Kati ya 8 Akiongea na Mshindi Wa Udiwani Wa Kata Ya Segerea Kwa Tiketi YA CHADEMA Muda Mfupi Baada ya Kutangazwa Mshindi
Wanachama Wa Chadema Wakishangilia Ushindi Wa Kiti Cha Udiwani Kata Ya Segerea Muda Mfupi Baada Ya Kutangazwa Mshindi Katika Ofisi Ya Kata Ya Segerea.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)