HAYAWI HAYAWI YAMEKUA BUNGE JIPYA HILO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HAYAWI HAYAWI YAMEKUA BUNGE JIPYA HILO

Wameula Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu
Halima Mdee amenyakua Jimbo la Kawe Kupitia Chadema
Peter Serukamba ameula Jimbo la Kigoma Mjini - CCM
Msanii Mashuhuri wa Muziki wa Kizazi Kipya Joseph Mbilinyi aka Mr II ameukwa Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chadema
John Mnyika ameukwaa Ubunge Jimbo la Ubungo Kupitia Chadema
Freeman Mbowe ameukwaa ubunge kupitia Chadema Jimbo la Hai
Augustine lyatonga mrema kutoka TLP ameukwa Ubunge jimbo la Vunjo Mkoani Kilimanjaro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages