TWIGA STAR YAPIGA DUA KABLA YA GEMU SAUZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TWIGA STAR YAPIGA DUA KABLA YA GEMU SAUZI

twiga stars wakipiga dua sauzi kabla ya gemu leo
Makocha wa timu ya taifa ya soka ya Wanawake Twiga Stars Charles Boniface Mkwassa Master na Adolf Rishard wakiwa na Mtangazaji maarufu wa michezo wa ITV na Radio One Maulid Kitenge wakifuatilia mazoezi ya timu hiyo jana mjini Johannesburg. Twiga Stars inatupa karata yake nyingine leo kwa kuvaana na Mali kwenye uwanja wa Sinaba nje ya Johannesburg, Afrika ya Kusini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages