JK MZIGONI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK MZIGONI

JK akiwa kazini ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam jana muda mfupi baada ya kuapishwa kuendelea kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi ya kwanza aliyoitekeleza Rais ilikuwa kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambapo Jaji Frederick Werema aliteuliwa na kuapishwa kuendelea kushika wadhifa huo.
JK akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Bwana Philemon Luhanjo barua ya uteuzi wa mwanasheria Mkuu wa Serikali jana.JK alimteua na kumwapisha Jaji Frederick Werema kuendelea kushika wadhifa huo(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages