JK AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI LEO

Rais Jakaya Kikwete Amwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Leo
Jaji Frederick Werema akila kiapo mbele ya Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuteuliwa na Rais kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali leo.Sherehe za kuapishwa kwa jaji Werema zilifanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miongozo ya Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema wakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Picha na Freddy Maro/IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages