Kufuatia vurugu za wamachinga Mkoani IRINGA Juzi jumapili, Polisi Mkoani humo
wamemkamata Diwani wa kata ya Mivinjeni FRANK NYALUSI kupitia tiketi ya CHADEMA
nakufanya idadi ya waliokamatwa kufuatia sakata hilo kufikia 77.PICHANI ni
Diwani FRANK akiwahutubia wananchi kwenye moja ya mikutano yake ya
kichama.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)