Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake
wakati akifungua rasmi Mkutano
wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa
Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza na Mkurugenzi Mkuu wa
TCRA, Prof. John Mkoma, wakati akiondoka kwenye chumba cha mkutano baada
ya kufungu rasmi mkutano huo wa 14 wa baraza la usimamizi wa
Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi za Afrika, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano huo wa 14 wa baraza la
usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa Mei 21, 2013 kwenye Hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na baadhi ya washiriki wa
mkutano huo, baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)