Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge la China, Lu
Youngxiang (wa pili kushoto) aliyeongozana na ujumbe wake wakati
walipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, jana
kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Mstaafu wa Bunge la China,
Lu Youngxiang (wa tatu kushoto) aliyeongozana na ujumbe wake baada ya
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini
Dar es Salaam, jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)