Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkoani Ruvuma F 5425 PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)