Pages

ASKARI POLISI ANATAFUTWA NA JESHI LA POLISI BAADA YA KUGUNDULIKA ALIJIPATIA AJIRA KWA VYETI VYA KUGUSHI, AKAAMUA KUKIMBIA.

Askari wa kikosi cha kuzuia ghasia katika jeshi la Polisi mkoani Ruvuma F 5425 PC Emmanuel Nyagoli ( 35), anatafutwa na Jeshi hilo kwa kosa la kujipatia ajira kwa vyeti vya Kugushi, Na kwasasa hajulikani alipokimbilia. Taarifa zaidi hii hapa RUVUMA TV.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)