
Hii ni mfano wa karatasi ya kumchagua mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi vya vyama vyote vilivyoshiriki UChaguzi Mkuu wa 2015. Hakikisha unapoweka tiki ndani ya boksi ya mgombea umpendae au umchaguae basi tiki hiyo hiyo haivuki nje ya kijumba hiko cha kuwekea tiki.
Sambaza elimu hii ili watu wengi zaidi wapate kuelewa





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)