TANZANIA ONE MUSIC WAZIDI KULITEKA SOKO LA MUZIKI LA MWANZA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANZANIA ONE MUSIC WAZIDI KULITEKA SOKO LA MUZIKI LA MWANZA.

Wasanii kutoka Rock City Mwanza wanaounda kundi la TANZANIA ONE MUSIC ambapo kushoto ni D'Maladha, Katikati ni Lady Shushu na Kulia ni Nyasa Boy.
Na:Binagi Media Group

Ukiwataja wasanii wanaofanya vizuri kutoka Jijini Mwanza, lazima utawataja Nyasa Boy, D'Maladha pamoja na mwanadada Lady Shushu ambao wanaunda kundi la Tanzania One Music ambalo tayari linatesa na ngoma mbili sokoni.



Wasanii hao kupitia kundi hilo, wameweza kuliteka soko la Muziki wa Mwanza kupitia ngoma zao mbili ambazo ni Nasema Nawe (Bonyeza HAPA Kuitazama) pamoja na Thamani ya Penzi (Tazama Hapo Chini).

Tazama Thamani ya Penzi hapa chini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages