Fernando Alonso: atoka hospitalini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Fernando Alonso: atoka hospitalini




Gari ya mashindano ya Mclaren
Dereva wa timu ya Mclaren fernando alonso ametoka hospitali kufuatia kupata ajali.
Bigwa huyu wa dunia mara mbili amerudi nchini Hispania kujiunga na familia yake kwa ajili ya mapumziko na kuweza kupona kabisa.
Majeruhi haya ya Alonso yatasabaisha kukosa kwa raundi ya tatu ya majaribio ya magari yatakayofanyika kuanzia Alhamis huko Barcelona.
Timu ya Mclaren imesema madereva Kevin Magnussen atashirikiana na Jenson Button katika kujaribu magari.
Timu za magari yaendayo kasi zinajiandaa kuanza msimu mpya utakaoanza Machi 15.Chanzo BBC Swahili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages