.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha Channel Ten na Magic Radio FM mpiganaji Salum Mkambala aliyelazwa katika Taasisi ya Mifupa ya MOI leo katika Hospitali ya Taifa muhimbili anakotibiwa majeraha baada ya kuapata ajali na kujeruhiwa vibaya wiki iliyopita
.jpg)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)