Leo Kamera yangu ilimdaka Mdau wa Blog hii akiwa busy kabisa kwa kuweka umakini katika zoezi zima la kusoma ratiba ya mchezo wa Mpira wa Miguu kwaajili ya kubashiri (Betting) mchezo unapendwa sana na watanzania wengi kwa sahivi maana imekuwa ni moja ya njia ya kujipatia kipato
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)