GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA

1Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mibikimitali Kata ya Ifunda katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo ambapo amewaomba kumuamini na kumpa kura zote za ndiyo katika uchaguzi utaotarajiwa kufanyika jumapili machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE -KALENGA) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Mibikimitali leo vs 4Wananchi wa kijiji cha Kibena katika jimbo la Kalenga wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichani wakati akihutubia mkutano huo. 5Wananchi wakijadili jambo wakati wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa. 6Biashara zikiendelea huku wananchi wakimsikiliza Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwa 7Bw. Mwampamba akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa. 8KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa. 9Wananchi wakipunga mikono kuashiria kumkubali mgombea wa mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa. 10Wananchi wakipunga mikono kuashiria kumkubali mgombea wa mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages