Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi akifungua mkutano wa wadau kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma uliowahusisha watendaji wakuu wa taasisi za serikali ili kupata maoni yao jijini Dar es salaam leo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, na Mwenyekiti wa mkutano Bw. HAB Mkwizu akisikiliza mada wakati wa mkutano kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi, (wanne kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu (watatu kushoto, waliokaa), katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau waliohudhuria mkutano kuhusu mikataba ya utendaji kazi katika Utumishi wa Umma.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)