HAPPY BIRTHDAY MY SHEM WA NGUVU MARMO MARAJ:SPECIAL GREETINGS TO SPECIAL PEOPLE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HAPPY BIRTHDAY MY SHEM WA NGUVU MARMO MARAJ:SPECIAL GREETINGS TO SPECIAL PEOPLE


Mdau Shem Wangu Marmo Maraj Ndani ya mapozi.
Leo ni tarehe 13 November 2013 ikiwa ni siku maalumu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Huyu Mdada Pichani ambaye anaitwa Marmo Maraj. Hakika ni moja ya marafiki zangu wa kike na Shemeji yangu pia ambaye tokea nilipoanza kufahamiana nae ni ndani ya muda mfupi tu akatokea kuwa my best friend na shemeji pia.

Ikiwa Leo ndio Siku ya Kumbukumbu ya kutimiza miaka kadhaa tokea kuzaliwa kwake timu nzima ya Lukaza Blog na Mmiliki wake Josephat Lukaza napenda kukutakia Maisha Mema na Yenye Amani, Fanaka na Mafanikio bila kutokusahau Kumcha Mungu kwani Kumcha Mungu Ndio Chanzo Cha Maarifa. Mungu Akujaze nguvu,ujasili, na uwezo kwa kuendelea kuishi Miaka mingi zaidi na Pia Akujaze Hekima na Busara. Hakika Tunakutakia Siku Njema ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kwako. 

Team Lukaza We Say HAPPY BIRTHDAY TO YOU MARMO MARAJ

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages