Diamond aingia studio nchini Nigeria kurekodi nyimbo mpya,pia kufanya video na Davido - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Diamond aingia studio nchini Nigeria kurekodi nyimbo mpya,pia kufanya video na Davido

Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz ambaye yuko jijini Lagos, Nigeria alikoenda kufanya video ya remix ya wimbo wake ‘My Number One’ aliyomshirikisha Davido, ameanza pia kurekodi ngoma kadhaa nchini humo.

Hitmaker huyo wa My Number 1, amepost picha akiwa studio jijini Lagos akiwa makini na kinachoendelea

kwenye computer ya producer na kuandika, Nightmares....! #Lagos #Nigeria.”

Nightmares? Hapa Diamond alitaka kusema ni usiku sana.., au ni kweli ana ndoto za kutisha/mbaya? Vyovyote alivyomaanisha ila cha msingi jamaa yuko kazini na tusubiri mizigo toka 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages