DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DKT SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya   Mifugo na Uvuvi,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages