NMB WADHAMINI WAKUU WA MKUTANO WA USHIRIKA WA SERIKALI ZA MITAA KATI YA TANZANIA NA CHINA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NMB WADHAMINI WAKUU WA MKUTANO WA USHIRIKA WA SERIKALI ZA MITAA KATI YA TANZANIA NA CHINA

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda katika picha ya pamoja na wadhamini wakuu mara baada ya kufungua Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China uliofanyika jana katika kituo cha mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Wakubwa wa benki ya NMB wasikimsikiliza Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda , alipokua akifungua Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China uliofanyika jana katika kituo cha mikutano cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wageni walioyohudhuria Mkutano wa Ushirikiano wa Serikali za Mitaa kati ya Tanzania na China Bi.Vivian Meng akipata maelezo kuhusu Huduma za NMB ChapChap kutoka kwa Afisa wa NMB, Batuli Sunna (kati) alipotembelea banda la NMB, kushoto ni Afisa wa NMB, Dorine Salvanus.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages