Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Ujumbe Wa Magavana na Wafanyabiashara Kutoka Nchini China - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Ujumbe Wa Magavana na Wafanyabiashara Kutoka Nchini China

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama zawadi ya picha aliyozawadiwa na  Makamu Gavana  wa jimbo la  Shaanxi , Bibi  Wang Lixia baada ya mazungumzo yake na ujumbe wa Magavana  kutoka China Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi ya mapambo kutoka kwa Jackerson Yan  ambaye ni  Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa  Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana  na ujumbe wa Magavana  na  wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha ,Bw. Xia Geng,  kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago  ,Bw. Xia Geng,  kiongozi wa ujumbe wa Magavana kutoka China baada ya kuzungumza na magavana hao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na  Jackerson Yan  ambaye ni  Mkurugenzi na Meneja Mkuu wa  Gulf Development and Investment Group wakati alipokutana  na ujumbe wa Magava na wafanyabiashara kutoka China, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Novemba 26, 2013. Katikati ni balozi wa China nchini, Lu Youqing.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages