Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax IKULU Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax IKULU Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana  na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi  baada ya mazungumzo yao.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi kumuaga  Rais, baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wake huo.Picha na Ramadhan Othman-IKULU-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages