VAN VICKER AMALIZA KUREKODI, AREJEA GHANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VAN VICKER AMALIZA KUREKODI, AREJEA GHANA

 
Van Vicker akitafakari jambo muda mfupi kabla ya mahojiano na waandishi wetu.
   Waandishi wa GPL, Brighton Masalu (kulia) na Khatim Naheka katika mahojiano maalumu na Van Vicker.
   
...Vicker akisikiliza kwa umakini maswali ya waandishi.
  
Brighton Masalu katika picha ya pamoja na Van Vicker.
   
Van Vicker akiwa na mwenyeji wake, Hashim Kambi ‘Ringo’.
MSANII wa filamu ambaye ni raia wa Ghana, Joseph Fhiphi Van Vicker, ambaye aliletwa Nchini Hapa na Kampuni ya Proin Promotions Limited ameondoka leo nchini kurudi nchini Ghana baada ya kuwa nchini kwa muda wa siku mbili, kwa shughuli ya kurekodi filamu.
 

Jana kamera yetu ilibahatika kukutana naye uso kwa uso mtaa wa India, Posta jijini Dar, ambapo mahojiano maalumu yalifanyika.
(Habari/Picha: Brighton Masalu na Richard Bukos / GPL)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages