Wakazi
wa Tegeta jijini Dar es Salaam, wakipata burudani huku pia wakipewa
elimu ya utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa Virutubishi na vijana wa
kiundi la black worious wakati wa walipokuwa wakifanyakapeni ya
utumiaji wa vyakula vyenye virutubishi . Kampeni hiyo inaongozwa na
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa
Tanzania.(TFDA) katika Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo
mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula vilivyowekwa nembo ya
Virutubishi. Vijana
wanaohamasishaji wa utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi
wakito elimu hiyo katika mitaa ya Tandika Sokoni jijini Dar es Salaam,
Kampeni hiyo ya uhamasishaji juu ya kuongeza virutubishi kwenye unga wa
ngano,unga wa mahindi na mafuta ya kula unazihusisha Wilaya za Kinondoni
,Ilala na Temeke ambapo mlaji anatakiwa kuhakikisha ananunua vyakula
vyenye nembo ya Virutubishi. Kampeni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzaniaz.(TFDA) Wakazi
wa Tandika Sokoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wamefurika wakati
walipokuwa wakipewa elimu ya utumiaji wa vyakula vyenye vitutubishi
katika Kampeni inayoendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania.(TFDA) katika Wilaya za
Kinondoni ,Temeke na Ilala.Mbiu ya promosheni hiyo ni kuhakikisha
wananchi wanatumia vyakula vywenye nembo ya Virutubishi. Akina
mama wanaojihusisha na upembuaji wa maharage katika soko la vyakula la
Tandika jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza kwa makini Adamu Juma (
kulia) wakati alipokuwa akiwapa elimu ya utumiaji wa vyakula
vilivyoongezwa Virutubishi .Kampeni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania.(TFDA)
katika Wilaya za Kinondoni ,Ilala na Temeke ambapo mlaji anatakiwa
kuhakikisha ananunua vyakula vilivyowekwa nembo ya Virutubishi
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)