TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA KUTOA ELIMU YA SHERIA WILAYA YA PANGANI MKOANI TANGA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA KUTOA ELIMU YA SHERIA WILAYA YA PANGANI MKOANI TANGA.

.com/blogger_img_proxy/KatibuTawala wa mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan (Kushoto) akizungumza na maofisa wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ofisini kwake. .com/blogger_img_proxy/Mkuu wa Wilaya ya Pangani mkoani Tanga Bi. Hafsa Mkwawa Mtasiwa akizungumza na maofisa wa tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ofisini kwake. .com/blogger_img_proxy/ Bi. Hafsa Mkwawa Mtasiwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na maofisa wa Tume (hawapo pichani) .com/blogger_img_proxy/ Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Hafsa Mkwawa Mtasiwa akipokea ‘’Tire Cover ‘’ kutoka kwa Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania .com/blogger_img_proxy/Katibu Twala wa Mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan akipokea ‘’Tire Copver’’ kutoka kwa Afisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha SheriaTanzania Bw. Fredy Kandonga.(Picha zote na Ofisa Habari waTume Munir Shemweta)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages