Tigo yakabidhi zawadi za Bajaji kwa washindi Tabora, Same na Morogoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tigo yakabidhi zawadi za Bajaji kwa washindi Tabora, Same na Morogoro

Mshindi wa promosheni ya Tigo 'Miliki Biashara Yako' Bw. Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akionyesha furaha ndani ya Bajaji aliyoshinda mara baada ya kukabidhiwa rasmi zawadi hiyo katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, Morogoro.
Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Biashara Yako’ Bw. Rashid Hussein Rashid kutoka Morogoro akiangalia namba za usajili na leseni ya barabarani (road license) ya Bajaji yake mpya aliyoshinda mara baada yakukabidhiwa rasmi na Mtaalam wa Masoko Tigo Bw. Alex Msigara katika hafla fupi iliyofanyika soko kuu, mkoani humo.
  Mshindi wa promosheni ya Tigo ‘Miliki Bisahara Yako’ Bw. Elias Mbano kutoka Tabora akipozi mbele ya Bajaji yake mpya aliyokadihiwa na Tigo walipofika mkoani humo hivi karibuni.
Wananchi wa Tabora mjini waliojitokeza kushuhudia mkazi mwenzao Bw. Elias Mbano akikabidhiwa Bajaji kutoka Tigo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages