KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAONGOZA WAZAZI KWENYE MAADHIMISHO YA 10 YA SIKU YA WAZAZI KATIKA SHULE YA BWAWANI SEKONDARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAONGOZA WAZAZI KWENYE MAADHIMISHO YA 10 YA SIKU YA WAZAZI KATIKA SHULE YA BWAWANI SEKONDARI

PIC - 1Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba fupi kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazazi (Parents Day) katika Shule ya Sekondari ya Bwawani  inayomilikiwa na  Jeshi la Magereza  Agosti 23, 2013.
PIC - 2Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akikagua Maktaba Kuu ya Shule ya Bwawani Sekondari  inayomilikiwa na Jeshi la Magereza  Agosti 23, 2013 kabla ya  kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Hamza Rajabu.
PIC - 4Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiweka jiwe la Msingi la Darasa litakalotumiwa na Wanafunzi wa Kidato cha Tano wanaotarajiwa kujiunga na  Shule ya   Bwawani Sekondari katika Michepuo ya HGL na HGK kabla ya kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi (kulia) ni Mkuu wa Shule hiyo, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Hamza Rajabu.
PIC - 5 Kikundi cha Sanaa cha Shule ya Bwawani Sekondari wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(hayupo pichani)  kwenye Maadhimisho ya 10 ya  Siku ya Wazazi(Parents Day)  Agosti 23, 2013 katika viwanja vya Shule hiyo.PIC - 6 Baadhi ya Wazazi waliohudhuria Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi katika Shule ya Bwawani Sekondari wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Kamishna wa Magereza Nchini, John Casmir    Minja(hayupo pichani)  kwenye Maadhimisho ya 10 ya  Siku ya Wazazi(Parents Day) Agosti 23, 2013 katika viwanja vya Shule hiyo inayomilikiwa na Jeshi la Magereza.
PIC - 3
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto) akiangalia Maonesho Maalum ya Kitaaluma kutoka kwa Wanafunzi wa Shule ya Bwawani Sekondari  inayomilikiwa na   Jeshi la Magereza leo Agosti 23, 2013 kabla ya  kuzungumza na Wazazi kwenye Maadhimisho ya 10 ya Siku ya Wazazi(Parents Day). (Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages