Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la
Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la
Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.
Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji,
Dr, Mary Nagu na Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto Mbwilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la
Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la
Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mbolea wakati alipotembelea banda la
kiwanda cha Mbolea cha Minjingu kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza
la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.
Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachama wa kikundi cha
ushonaji Ufukuba katika banda la kikundi hicho kabla ya kufngua
Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini babati
Agosti 22, 1013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika
Mkoa wa Manyara mjini Babati Agosti 22, 2013.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa
Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua
kongamano hilo mjini Babati Agost 22, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)