Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka Mkuki katika
Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa wa Vita vya Kagera uliopo Kikosi cha
Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera leo Julai 25, 2013 Askofu
Msaidizi wa Jimbo Kuu la Bukoba, Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini
akisoma Sala kwa niaba ya Waumini wa Kanisa Katoliki katika Maadhimisho
ya Kumbukumbu ya Mashujaa waliopigana Vita vya Kagera Mwaka 1978 hadi
1979. Sherehe hizo zimefanyika leo Julai 25, 2013 katika Kikosi cha
Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera ambapo Mgeni Rasmi ail kuwa ni Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho KikweteAmiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishikana Mkono na
Askari wa Jeshi la Magereza mwenye Cheo cha Stafu Sajini ambaye
alipigana Vita vya Kagera Mwaka 1978 hadi 1979. Sherehe hizo zimefanyika
leo katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya, Mkoani Kagera Baadhi
ya Mawaziri wa Wizara mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania(Mstari wa mbele)waliohudhuria Sherehe za Maadhimisho ya
Kumbukumbu za Mashujaa waliopigana Vita vya Kagera mwaka 1978 hadi 1979.
Sherehe hizo zimefanyika katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya Mkoani Kagera
na Mgeni Rasmi alikuwa ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete. Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange pamoja
na Wakuu Wengine wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamishna
Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja alipokuwa akitembelea sehemu
walipozikwa Mashujaa wa Vita vya Kagera leo Julai 25, 2013 katika Kikosi
cha Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera Gadi
iliyoundwa na Askari wa Jeshi la Magereza wakiwa katika Gwaride Rasmi
la Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa waliopigana Vita vya Kagera
mwaka 1978 hadi 1979. Sherehe hizo zimefanyika leo katika Kikosi cha
Jeshi cha Kaboya, Mkoani Kagera ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Amiri
Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(Picha na Lucas Mboje wa
Jeshi la Magereza).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)