MAWINDO BADO YANAENDELEA: MAN U YATUMA OFA YA TATU KWA BARCELONA KWAAJILI YA KUTAKA KUPATA SAINI YA CESC FABREGAS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAWINDO BADO YANAENDELEA: MAN U YATUMA OFA YA TATU KWA BARCELONA KWAAJILI YA KUTAKA KUPATA SAINI YA CESC FABREGAS

Still a chance: Manchester United manager David Moyes said negotiations for Cesc Fabregas were 'ongoing'Bado nafasi ipo:  Kocha wa Manchester United,  David Moyes amesema bado yupo katika mazungumzo na Cesc Fabregas  
On the hunt: David Moyes was speaking at a press conference in Osaka, JapanMawindo bado yanaendelea: David Moyes alizungumza na waandishi wa habari huko  Osaka, Japan
In depth chat: Patrice Evra and Robin van Persie have a chat in the dugoutWakiwa katika mazungumzo makini: Patrice Evra na Robin van Persie wakibadilishiana mawazo
Training session: Moyes instructs Ryan Giggs during a training session in JapanWakati wa mazoezi: Moyes akimpa maelekezo Ryan Giggs wakati wa mazoezi nchini Japan 
Warm up: The United players are put through their paces ahead of the match with Cerezo Osaka on FridayTizi:  Wachezaji wa  United  wakipiga jalamba leo hii
 
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
KOCHA wa mabingwa wa soka nchini England, klabu ya Manchester United, David Moyes amesisitiza kuwa nia yake ya kumsajili kiungo wa Barcelona, Cesc Fabregas ili akipige Old Trafford  iko pale pale na jitihada za kumshawishi kuiacha klabu yake zinaendekea.

Moyes amayesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari Osaka nchini Japan, lakini hakutaka kuendelea kulizunguzia suala hilo zaidi.

Klabu ya United imeandaa ofa ya pili kuinasa saini ya Fabregas, na inaaminika ni zaidi ya pauni milioni 30 ambayo ilikatataliwa na Barcelona. Fabregas bado yupo likizo ambayo alipewa na klabu yake baada ya kutoka kushiriki michuano ya kombe la Mabara , hivyo hapo jana alikosa kucheza mechi ya klabu yake dhidi ya kikosi cha  kocha wake wa zamani, Joseph Pep Guardiola, klabu ya Bayern Munich.

Mapema wiki hii kocha Moyes alisema: “Naelewa kuwa mkurugenzi wao mkuu Ed Woodward anawajibika juu ya mpango huo na wapo katika mazungumzo baada ya kutuma ofa nyingine”.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages