Baadhi ya wananchi waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria hafla ya futari ya pamoja, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akizungumza nao jana Julai, 24, 2013.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Kagera Sugar, Hashim Ranner, baada ya kumalizika kwa hafla ya Futari ya pamoja na wananchi wa Mkoa wa kagera iliyofanyika katika Kiwanda cha Kagera Sugar Wilaya ya Misenyi jana Julai, 24, 2013. Katikati ni Mmiliki wa Kiwanda hicho, Nassor Seif.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)