FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA DAR LIVE IDDI MOSI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA DAR LIVE IDDI MOSI

IMG_7250
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’ 
IMG_7253
Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini ya Dole Gumba  mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’
IMG_7258
Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’ kushoto akimkabidhi kiasi cha pesa bondia Fransic Miyeyusho kama sehemu ya maandalizi ya mpambano wake utakaofanyika siku ya Sikukuu ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live PICHA NA BLOG YA SUPER D

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages