UPDATE ZA BOMU KULIPUKA JIJINI ARUSHA ASUBUHI YA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UPDATE ZA BOMU KULIPUKA JIJINI ARUSHA ASUBUHI YA LEO

Mpaka kufikia muda Huu hakuna taarifa ya kukamatwa kwa Watu wanaoshukiwa kuhusika kwa Mlipuko huo na Bado taarifa kutoka kwenye vyombo vya usalama na ulinzi haijatolewa kuhusiana na tukio hilo la bomu kulipuka katika Parokia mpya ya St Joseph Olasiti ilaniyokuwa ikizinduliwa leo na Balozi wa Papa Kutoka vatic.

Mpaka Sasa idadi ya watu ambao wamewahishwa katika hospitali kwaajili ya Matibabu ni 14 na wengine wakizidi kuwahishwa kupata matibabu na Taariza ambazo zinaendelea kusema kuwa idadi kamili ya watu waliopoteza maisha bado haijapatikana japokuwa kuna taarifa kuwa kuna watu wanahofiwa kupoteza maisha.

Tuendelee Kufuatilia hapa Kwaajili ya Taarifa zaidi

Stay tuned @ Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages