BREAKING NEWS: JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LINAMSHIKILIA MTU MMOJA KUHUSIKA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKI LA ST JOSEPH OLASITI LEO ASUBUHI JIJINI ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS: JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LINAMSHIKILIA MTU MMOJA KUHUSIKA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KATIKA KANISA KATOLIKI LA ST JOSEPH OLASITI LEO ASUBUHI JIJINI ARUSHA

Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja ambaye anahusishwa na kutokea kwa mlipuko uliotokea katika kanisa la Katoliki la St Joseph Olasiti Arusha leo asubuhi wakati Balozi wa Papa kutoka Vatican akizindua Parokia hiyo mpya Ya St Joseph Olasiti ya Jijini Arusha 
 Endelea Kutembelea Lukaza Blog Kwa Taarifa zaidi
Stay tuned @ Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages