"SEA - PAPI KOCHA, NGUZA VIKING" NYIMBO ILIYOBAMBA ENZI HIZO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

"SEA - PAPI KOCHA, NGUZA VIKING" NYIMBO ILIYOBAMBA ENZI HIZO

Nyimbo hii ya SEA imeimbwa na Papii Kocha na Nguza Viking, Nyimbo hii hakika bado inapendeza kusikika masikioni mwetu na hakuna harusi ambayo hutosikia nyimbo hii ikipigwa.

1 comment:

  1. Tunampongeza Bob Seya kwa wimbo huu unaoendelea kutamba kwenye kusanyiko za watu mbalimbali na matukio mbalimbali...

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages