TAIFA KATIKA TASWIRA: MAMA SALMA KIKWETE AKITETA JAMBO NA MWANZILISHI WA KUWAIT CENTER FOR AUTISM AL SAADA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAIFA KATIKA TASWIRA: MAMA SALMA KIKWETE AKITETA JAMBO NA MWANZILISHI WA KUWAIT CENTER FOR AUTISM AL SAADA

IMG_0648
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, akifurahia jambo na Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kuwait Center for Autism Dr. Samira Al Saad mara baada ya kusaini kitabu cha wageni baada ya kuwasiri kituoni hapo tarehe 6.5.2013.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages