Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Askofu Mkuu wa
Canterbury Justin Portal Welby katika ukumbi wa St.Gaspar mjini Dodoma
leo. Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Askofu Mkuu wa Canterbury Justin
Portal Welby muda mfupi baada ya kufanya naye mazungumzo katika ukumbi
wa St.Gaspar mjini Dodoma.Askofu huyo alishiriki katika ibada ya
kutawazwa kwa askofu mkuu mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Tanzania
Dkt.Jacob Erasto Chimeledya.(picha na Freddy Maro)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)