WANAFUNZI WA UDOM WAPIGWA MSASA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA UDOM WAPIGWA MSASA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

oja wa wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma akichangia mada wakati wa uwasilishwaji wa mada ya manufaa ya mfuko wa Pensheni wa PSPF
 Afisa Mfawidhi wa PSPF akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada katika Semina hiyo kwa wanafunzi wa UDOM
 Afisa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF mkoa wa Dodoma Rahim Hashim akitoa elimu kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo kikuu cha Dodoma kuhusu Mfuko na fursa zinazopatikana ukijiunga na Mfuko wa PSPF.
Sehemu ya washiriki wa semina kuhusu Mfuko wa PSPF iliyofanyika katika chuo kiuu cha Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages